UEFA Europa League (UEL): Kubashiri Mtandaoni, Utabiri na Vidokezo kwa Watanzania

Karibu kwenye Galsport Betting. Tovuti ambayo umejitolea kwa moja ya ligi zinazopendwa zaidi za mpira wa miguu ulimwenguni, Ligi ya Europa maarufu kama Uefa Europa League.

Sisi tukiwa tovuti bora zaidi ya kubashiri nchini Tanzania, tunawawekea wataalamu wa mpira wa miguu kukujulisha juu ya ofa zote za hivi karibuni za Ligi ya Europa, masoko na vidokezo yakinifu kwa kukuongezea uzoefu wakubashiri kwa kiwango cha juu zaidi.

Je! Kwanini Kubashiri katika Ligi ya Europa ni maarufu sana?

Kwa sababu unapata kushuhudia wachezaji wote wakubwa na mashuhuri katika ulimwengu wa mpira wanashiriki kupata bingwa wa kweli wa Uropa. Na pia uwekezaji wa gharama kubwa uliyowekwa na makampuni makubwa kwa ajili ya matangazo na Udhamini wa mashindano husaidia kuongeza mapato kwa vilabu vinavyo shiriki ligi hiyo.

Michuani hii wanashiriki timu machachari zilizofanya vizuri katika ligi mbalimbali barani Ulaya. Michuano hiyo huendeshwa kwa play off kwa baadhi ya timu kasha wale walioshika nafasi ya tatu katika UEFA Europa League hupachikwa na kufuzu moja kwa moja katika hatua ya makundi Kisha baadae Kwenda hatua ya mtoano na ndipo bingwa hupatikana. Hivyo michuano huwa ni mikali hasa ukizingatia pamoja na mzigo uliotengwa kila mwaka kwa washiriki na timu pamoja na wachezaji waliofanya vizuri kwenye mashindano hayo

Huku ndipo wale wachezaji wengi chipukizi hup atikana hasa wale ambao wanatafuta jina ili wapate timu kubwa na wakacheze katika ligi ya Mabingwa Ulaya, Hivyo hali ya kujituma na kujitoa katika timu hushuhudiwa. Michuano hii ni mikubwa sana kwani Bingwa hupata nafasi ya kufuzu kuwania kikombe kingine kikubwa cha Uefa Super Cup.

Watanzania wengi wamekuwa na Hamasa sana kwa vilabu vinavyoshiiriki ligi hii kutokana na Uwekezaji ambao umefanywa na baadhi ya vilabu kwa Kufanya Usajili wa gharama kuleta wachezaji mahiri wa ndani na nje ya bara hilo kwa kuongeza wachezaji mahiri ambao wanaweka rekodi katika Ulimwengu wa Soka.

Mchezaji kama Eden Hazard, Alipata mafanikio makubwa akiwa na Chelsea baada ya kushinda UEFA Europa League aliweza kusajiliwa na timu kubwa Ulimwenguni ambayo imeshinda kila aina ya Taji na yenye wachezaji wengi mahiri, Real Madrid. Hazard alipata usajili huu si tu kwa kung’ara katika Ligi Kuu nchini Uingereza bali alionesha kuwa anaweza pia kufanya vema katika michuano mikubwa kama Uefa Europa League.

Hatua ya Makundi na Hatua ya Mtoano

Katika hatua ya makundi kuna Idadi ya timu 48, Ambapo kila kundi lina timu nne na jumla ya makundi yako 12. Ikumbukwe kuwa timu zishikazo nafasi ya tatu katika Uefa Champions League hufuzu katika kila kundi Timu zitokazo nchi moja hupangwa katika makundi tofauti, Huku kila timu ikicheza mechi sita katika hatua ya makundi ikikutanisha timu zilizo kundi moja mara mbili nyumbani na Ugenini.

Atakaye ongoza kundi na atakayeshika nafasi ya pili Husonga mbele katika hatua inayofuata huku tukishuhudia nafasi ya tatu akienda moja kwa moja katika mashindano ya UEFA Europa League.

Katika hatua ya 16 bora, walio ongoza makundi hawapangwi pamoja bali watapangwa na wale walioshika nafasi ya pili katika hatua hii.

Kuanzia hatua ya Robo Fainali,Droo huchezeshwa bila kuzingatia mmetoka nchi moja wala sababu ningine yeyote. Hapa ndipo tunashuhudia utamu kamili wa ligi hii, Upande mmoja unalia na mwingine ukicheka.

Michuano hi hutumia njia ya faida ya goli la ugenini (aggregate) kupata mshindi wa mechi,  na kama zimefanana goli la ugenini basi ndipo mechi yaongezewa muda wa ziada maarufu kama Extra time kupata mshindi atakae enda hatua ya nusu fainali kasha fainali.

Imekuwa kawaida kwa michuano hii kwa hatua ya makundi kuchezwa siku ya Alhamisi na huku mechi zikichezwa katika viwanja vya nyumbani na Ugenini kasoro Mechi ya Fainali tu ambayo huchezwa mwezi Mei mwishoni au Juni mwanzoni katika Uwanja unaochaguliwa kabisa kabla ya michuano kuanza.

Timu Maarufu kutoka Ligi mbalimbali  zinazoshiriki Ligi ya Europa

Zifuatazo ni Timu kadha wa kadha ambazo zimeshiriki katika Lig ya Mabingwa Ulaya msimu huu

AS Eoma, BSC Young Boys, CFR 1907 Cluj,PFC CSKA-Sofia, Arsenal FC, Molde FK, SK Rapid Wien, Dundalk FC, Bayer 04 Leverkusen, SK Slavia Praha, Hapoeel Beer-Sheva FC, OGC Nice, Rangers FC, SL Benfica, R. Standard de Liege, KKS Lech Poznan, PSV Eindhoven, Granada CF, PAOK FC, Omonoia FC, SSC Napoli, Real Sociedad de Futbol, AZ Alkmaar, HNK Rijeka, Leicester City FC, SC Braga, FC Zorya Luhansk, AEK Atherns Fc, AC Milan, LOSC Lille, AC Sparta Praha, Celtic FC, Villareal CF,Maccabi Tel-Aviv FC, Sivasspor, Qarabag FK, Tottenham Hotspur, Royal Antwerp FC, LASK, PFC Ludogorets 1945, GNK Dinamo Zagreb, Wolfsberger AC, Feyenoord, PFC CSKA Moskva, TSG 1899 Hoffenheim, FK Crvena zvezda, FC Slovan Liberec, KAA Gent

Nani ameshinda mataji mengi zaidi katika Ligi ya Europa?

Kwa kipindi cha miaka 50 ya Ligi kuu, Timu toka Uhispania Sevilla F ndio wanaoshikilia usukani kwa kunyakua mataji mengi zaidi wakiwa na jumla ya mataji 6, huku miamba ya Sansiro Inter Milan, Majogoo wa Jiji la london Liverpool, Na kibibi kizee cha Turin Juventus wakiwana jumla ya mataji 3 kila mmoja. Borussia Monchengladbach, Tottenham, Real Madrid, Parma, Porto,Feyenoord na Chelsea Zote kikiwa na Mataji Mawili kila Timu.

Zifuatazo ni Timu zilizochukua Ubingwa misimu 10 ya hivi karibuni:-

TimuMsimu
·       Sevilla2019-2020
·       Chelsea2018-2019
·       Atletico Madrid2017-2018
·       Manchester United2016-2017
·       Sevilla2015-2016
·       Sevilla2014-2015
·       Sevilla2013-2014
·       Chelsea2012-2013
·       Atletico Madrid2011-2012
·       FC Porto2010-2011

 

Odds bora zaidi za Ligi ya Europa

Tunafahamu ni jinsi gani ligi ya Mabingwa Ulaya inavyosisimua, hivyo jukumu letu haliishii tu katika kukupa dondoo, vidokezo, ushauri na matukio muhimu ya VPL bali tunajiongeza kufanya burudani yako iwe na manufaa maradufu kwa kukupa odds zilizo bora zaidi katika kubashiri Ligi hii Pendwa Ulimwenguni kote.

Vidokezo vya kubashiri wakati mechi ya Ligi ya Europa inaendelea – Live betting!

Kubashiri moja kwa moja kunakuwa kwa kasi sana na kwa usaidizi wa wataalamu na watafiti wetu ikijumuishwa na jinsi ligi kuu Tanzania bara ilivyokuwa ya kusisimua ndani ya dakika 90 za kila mchezo unakuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kujishindia donge nono wakati mechi ikiendelea.

Odds huweza badilika kila mechi inavoendelea kuchezwa na kinachovutia na tunachojivunia zaidi ni uwezekano wa kuweza kupata pesa zako za ushindi ndani ya muda mfupi.

Matokeo ya mechi nzima (Dakika 90)

Kubashiri matokeo ya mechi nzima bado ni njia maarufu zaidi ambayo wabashiri wengi huipenda, yani timu moja kushinda au pengine hata kusuluhu.

Hii ni tofauti na kubashiri idadi sahihi ya magoli ya mechi nzima kama vile 2-1, 3-3, 2-0 na kadhalika.

Odds hubadilika kila wiki kulingana na kila mechi kutokana na fomu au ubora wa timu, ukifuatilia kwa makini uchambuzi wa watalaamu wetu hakuna matokeo ya Ligi ya Europa yatakayo kushangaza.