UEFA Champions League (UCL): Kubashiri Mtandaoni, Utabiri na Vidokezo kwa Watanzania

Habari na Karibu kwenye Galsport Betting. Tovuti ambayo umejitolea kwa moja ya ligi zinazopendwa zaidi za mpira wa miguu ulimwenguni, Ligi ya Mabingwa Ulaya maarufu kama Uefa Champions League.

Sisi tukiwa tovuti bora zaidi ya kubashiri nchini Tanzania, tunawawekea wataalamu wa mpira wa miguu kukujulisha juu ya ofa zote za hivi karibuni za Ligi ya mabingwa Ulaya, masoko na vidokezo yakinifu kwa kukuongezea uzoefu wakubashiri kwa kiwango cha juu zaidi.

Je, Kwanini Kubashiri katika Ligi ya Mabingwa ya Ulaya ni maarufu sana?

Kwa sababu unapata kushuhudia wachezaji wote wakubwa na mashuhuri katika ulimwengu wa mpira wanashiriki kupata bingwa wa kweli wa Ulaya. Na pia uwekezaji wa gharama kubwa uliyowekwa na makampuni makubwa kwa ajili ya matangazo na Udhamini wa mashindano husaidia kuongeza mapato kwa vilabu vinavyo shiriki ligi hiyo.

Michuani hii wanashiriki vigogo pekee katika ligi mbalimbali barani Ulaya. Michuano hiyo huendeshwa kwa Kupanga makundi na Kisha baadae Kwenda hatua ya mtoano na Kisha kupata Bingwa wa Bara zima. Hivyo michuano huwa ni mikali hasa ukizingatia pamoja na kitita kinachotengwa kila mwaka kwa washiriki na timu pamoja na wachezaji waliofanya vizuri kwenye mashindano hayo.

Huku ndipo utakutana na kila aina ya wachezaji mahiri waliopo kwenye timu Kubwa za ligi ya bara la Ulaya. Wale wachezaji pendwa ambao tumezoea kuwaona katika Ligi ambazo zinafuatiliwa kwa karibu na mashabiki Ulimwenguni.

Watanzania wengi wamekuwa na Hamasa sana kwa vilabu vinavyoshiiriki ligi hii kutokana na Uwekezaji ambao umefanywa na baadhi ya vilabu kwa Kufanya Usajili wa gharama kuleta wachezaji mahiri wa ndani na nje ya bara hilo kwa kuongeza wachezaji mahiri ambao wanaweka rekodi na kuzivunja wenyewe kila msimu ni habari tofauti.

Wachezaji kama Cristiano Ronaldo (Juventus) , Lionel Messi (Barcelona) wamepata mafanikio binafsi kwa kushiriki na kufanya vizuri katika michezo waliocheza katika mashindano haya, kwahiyo hata tuzo kubwa kama Ballon D’or hhuangalia takwimu za michezo ya ligi ya mabingwa Ulaya( Uefa Champions League)

 

Hatua ya Makundi na Hatua ya Mtoano

Katika hatua ya makundi kuna Idadi ya timu 32, Ambapo kila kundi lina timu nne na jumla ya makundi yako nane. Timu zitokazo nchi moja hupangwa katika makundi tofauti, Huku kila timu ikicheza mechi sita katika hatua ya makundi ikikutanisha timu zilizo kundi moja mara mbili nyumbani na Ugenini.

Atakaye ongoza kundi na atakayeshika nafasi ya pili Husonga mbele katika hatua inayofuata huku tukishuhudia nafasi ya tatu akienda moja kwa moja katika mashindano ya UEFA Europa League.

Katika hatua ya 16 bora, walio ongoza makundi hawapangwi pamoja bali watapangwa na wale walioshika nafasi ya pili katika hatua hii.

Kuanzia hatua ya Robo Fainali,Droo huchezeshwa bila kuzingatia mmetoka nchi moja wala sababu ningine yeyote. Hapa ndipo tunashuhudia utamu kamili wa ligi hii, Upande mmoja unalia na mwingine ukicheka.

Michuano hi hutumia njia ya faida ya goli la ugenini (aggregate) kupata mshindi wa mechi,  na kama zimefanana goli la ugenini basi ndipo mechi yaongezewa muda wa ziada maarufu kama Extra time kupata mshindi atakae enda hatua ya nusu fainali kasha fainali.

Michuano hii kwa hatua ya makundi kuchezwa kuanzia mwezi Septemba hadi mwezi Desemba, na huku hatua ya mtoano huanza kuanzia mwezi Februari huku mechi zikichezwa katika viwanja vya nyumbani na Ugenini kasoro Mechi ya Fainali tu ambayo huchezwa mwezi Mei mwishoni au Juni mwanzoni katika Uwanja unaochaguliwa kabisa kabla ya michuano kuanza.

 

Timu Maarufu kutoka Ligi mbalimbali  zinazoshiriki UEFA Champions League

Zifuatazo ni Timu kadha wa kadha ambazo zimeshiriki katika Lig ya Mabingwa Ulaya msimu huu

Ajax (Uhispania)  Atlanta (Italia) AZ Alk,aar( Uholanzi) Barcelona(Uhispania) Bayern Munich( Ujerumani) Benfica(Ureno) Besiktas(Uturuki) Celtic (Uskochi)) Club Brugge (Ubelgiji) Liverpool(Uingereza) FC Porto (Ureno) Borussia Dortmund(Ujerumani) PSV Eindohoven (Uholanzi)Inter Milan(Italia|) Manchester United(Uingereza) Real Madrid(Uhispania) Monac(Ufaransa)Panathinaikos(Ugiriki) Paris Saint Germain(Ufaransa) Borussia Monchengladbach (Ujerumani) Valencia(Uhispania) Feyenoord(Uholanzi) Fiorentina (Italia) Arsenal( Uingereza) AC Milan  9Italia) Atletico Madrid(Uhispania) Juventus (Italia)Tottenham(Uingereza) Malmo(Uswidi) CSKA Moscow(Urusi) Manchester City(Uingereza) Marseille(Ufaransa) Chelsea (Uingereza) Olympic Lyon( Ufaransa)Aston Villa(Uingereza) Sporting Lisbon(Ureno) Eintracht Frankfurt(Ujerumani)

 

Nani ameshinda mataji mengi zaidi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya?

Kwa kipindi cha miaka 66 ya Ligi kuu, Miamba ya Madrid maarufu kama Los blancos ndio wanaoshikilia usukani kwa kunyakua mataji mengi zaidi wakiwa na jumla ya mataji 13, huku miamba ya Sansiro AC Milan wakiwana jumla ya mataji 7, Bayern Munchen wakishikilia nafasi ya tatu  pamoja na Liverpool kwa mataji 6. Huku Barcelona akifuata akiwa na majaji 5

Zifuatazo ni Timu zilizochukua Ubingwa misimu 10 ya hivi karibuni:-

TIMU            NCHI              MSIMU

FC Bayern Munich

 

Ujerumani2019-2020
Liverpool FCUingereza2018-2019
Real MadridUhispania2017-2018
Real MadridUhispania2016-2017
Real MadridUhispania2015-2016
FC BarcelonaUhispania2014-2015
Real MadridUhispania2013-2014
FC Bayern MunichUjerumani2012-2013
Chelsea FCUingereza2011-2012
FC Barcelona

 Uhispania

 2010-2011

 

Kutokana natakwimu hapo juu, Wengi mtajiuliza mbona baadhi ya vilabu vikubwa havipo kwenye orodha?. Jibu ni kwamba kuna baadhi ya vilabu vikubwa havijawai kunyakua kikombe hiki.

Zifuatazo ni Timu chache ambazo hazijawai kubeba taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya!:-

  • Arsenal FC
  • Atletico Madrid
  • Borussia Monchengladbach
  • Bayer Leverkusen
  • Club Brugge
  • Fiorentina
  • Monaco
  • Paris Saint Germain
  • Roma
  • Valencia

Lakini timu zote hapo juu ziliweza kufika katika hatua ya fainali lakini hazikuweza kufanikiwa kubeba taji. Hapa ndipo utaelewa kuwa Ligi hii ni moja ya Ligi Bora Duniani.

 

Odds bora zaidi za Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Tunafahamu ni jinsi gani ligi ya Mabingwa Ulaya inavyosisimua, hivyo jukumu letu haliishii tu katika kukupa dondoo, vidokezo, ushauri na matukio muhimu ya VPL bali tunajiongeza kufanya burudani yako iwe na manufaa maradufu kwa kukupa odds zilizo bora zaidi katika kubashiri Ligi hii Pendwa Ulimwenguni kote.

 

Vidokezo vya kubashiri wakati mechi ya Ligi ya Europa inaendelea – Live betting!

Kubashiri moja kwa moja kunakuwa kwa kasi sana na kwa usaidizi wa wataalamu na watafiti wetu ikijumuishwa na jinsi ligi kuu Tanzania bara ilivyokuwa ya kusisimua ndani ya dakika 90 za kila mchezo unakuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kujishindia donge nono wakati mechi ikiendelea.

Odds huweza badilika kila mechi inavoendelea kuchezwa na kinachovutia na tunachojivunia zaidi ni uwezekano wa kuweza kupata pesa zako za ushindi ndani ya muda mfupi.

 

Matokeo ya mechi nzima (Dakika 90)

Kubashiri matokeo ya mechi nzima bado ni njia maarufu zaidi ambayo wabashiri wengi huipenda, yani timu moja kushinda au pengine hata kusuluhu.

Hii ni tofauti na kubashiri idadi sahihi ya magoli ya mechi nzima kama vile 2-1, 3-3, 2-0 na kadhalika.

Odds hubadilika kila wiki kulingana na kila mechi kutokana na fomu au ubora wa timu, ukifuatilia kwa makini uchambuzi wa watalaamu wetu hakuna matokeo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya  yatakayo kushangaza.